Naibariki Jumamosi yangu, BWANA Yu Pamoja nami, Nitapaa kama Tai, FURAHA YA BWANA Ni NGUVU yangu, SITAPUNGUKIWA na Kitu, BWANA Ni Mchungaji wangu, MIMI ni MSHINDI, Haleluya, Jumamosi yangu IMEBARIKIWA, Asante YESU, WEWE Ni MZURI BWANA.
Unapokaa ndani yake Kristo Lile pendo la kristo linahamishiwa kwako.unakuwa na ule upendo wa Kristo. 1.Tutashika amri zake Yesu 2.Tukikaa ndani ya Yesu atatundea mema 3.Hatutasengenyana, tutasaidiana, tutakuwa na Umoja 4.Yesu atatuombea kwa Baba wetu wa Mbinguni.
Comments
Post a Comment