December 30, 2017
FATHER'S SEMINAR HELD AT PRECIOUS CENTRE KIBAHA (30TH DEC, 2017) By Apostle & Prophet Josephat E. Mwingira (Efatha Ministry) The...
December 27, 2017
Naibariki Jumatano yangu, Jumatano yangu HAITAKUWA YA KAWAIDA, maana BWANA Ameniahidi MEMA, na YEYE Ananiwazia MEMA, Asante MUNGU BABA, Unan...
December 27, 2017
No matter how wicked and evil you are today, if you decide to start THINKING about God, HE will come closer to you and HE will change you....
December 27, 2017
Haijalishi wewe ni muovu kiasi gani leo, lakini ukiamua kuanza KUWAZA kuhusu Mungu, Atakuja karibu yako na atakubadilisha.
December 26, 2017
SOMO: WAZA KUHUSU MUNGU. Amua KUBADILISHA Namna yako ya KUWAZA, umewaza sana kuhusu mume wako na mke wako, amua kuachana na hayo yote na uan...
December 26, 2017
SOMO: WAZA KUHUSU MUNGU. Je wewe UNAWAZA Nini kuhusu Mungu? Watu wanaowaza sana kuhusu Mungu, wakati wa njaa wao Wanavuna sana, wakati vitu ...
December 26, 2017
SUNDAY SERVICE AT EFATHA MINISTRY MWENGE (24th December, 2017). TOPIC: "FAITH". Romans 1:28 “And even as they did not like to...
December 26, 2017
MTUME NA NABII JOSEPHAT ELIAS MWINGIRA. SOMO: IMANI. Nini maana ya IMANI? Imani ni namna UNAVYOFIKIRI, namna ulivyo na UFAHAMU wa mambo...
December 26, 2017
MTUME NA NABII JOSEPHAT ELIAS MWINGIRA. SOMO: IMANI. Imani inakuja kwa KUSIKIA, huwezi Kumwabudu Mungu kama HUMJUI, ni lazima UMJUE...
December 26, 2017
SUNDAY SERVICE AT EFATHA MINISTRY MWENGE (24th December, 2017) TOPIC: “FAITH” Faith is about the way you think, and the way you underst...
December 26, 2017
LET YOUR MIND THINK ABOUT GOD; Those who THINK about GOD are always Blossoming whether in famine, scarcity or in hunger.
December 26, 2017
ACHA AKILI YAKO IWAZE KUHUSU MUNGU; Wanao WAZA kuhusu MUNGU, mara zote Uchanua iwe katika ukame, ukata au njaa kali.
December 26, 2017
Naibariki Jumanne yangu, NITAFURAHI Na KUSHANGILIA maana Nitauona WEMA WA BWANA Machoni pangu, Nitaona MATENDO MAKUU katika Maisha yangu, ma...
December 25, 2017
SUNDAY SERVICE AT EFATHA MINISTRY MWENGE (24th December, 2017) © APOSTLE & PROPHET JOSEPHAT ELIAS MWINGIRA TOPIC: “FAITH” Faith i...
December 25, 2017
(Inaendelea...... SOMO: IMANI) Kwa nini tunakusanyika pamoja ili Kuabudu wakati Biblia inasema kuwa tunatakiwa Kuabudu katika ROHO? Tun...
December 25, 2017
MTUME NA NABII JOSEPHAT ELIAS MWINGIRA SOMO: IMANI. Mwanzo 6:5 “BWANA akaona ya kuwa maovu ya mwanadamu ni makubwa duniani na kwamba kil...
December 25, 2017
Waimbaji wa Efatha Mass Choir wakiongoza Ibada ya Sifa na Kuabudu katika Ibada ya Kwanza, kituo cha Efatha Mwenge Dar es Salaam, Tanzania. (...
December 25, 2017
Waimbaji wa Efatha Chipukizi Team wakiongoza Ibada ya Sifa pamoja na Kuabudu katika Ibada ya pili, jana tarehe 24/12/2017 kituo cha Efatha M...
December 25, 2017
Naibariki Jumatatu yangu, MUNGU BABA Asante, maana ni Jumatatu iliyo ya Pekee kwangu, SITAKUWA kama NILIVYOKUWA, maana HUJANIACHA, Hu Pamoja...
December 22, 2017
Naibariki Ijumaa yangu, Ijumaa yangu IMEBARIKIWA, maana MUNGU BABA Ananijali na Ananipenda, Haleluya, YESU Asante kwa WOKOVU wako BWANA, Nak...
November 05, 2017
PASTOR ANGELINA MDADILA BE INSPIRED TO MOVE WITH VICTORY Exodus 4:21 “And the LORD said unto Moses, When thou goest to return int...
October 14, 2017
SOMO: BADILISHA TABIA ZAKO: Wokovu ni kubadilika, inaumiza sana kuona mtu ameokoka na bado anaendelea na tabia za watu ambao hawajaoko...
October 14, 2017
SOMO: BADILISHA TABIA ZAKO: Ili uweze kuziona baraka za Mungu katika maisha yako, hakikisha tabia zako zinabadilika. Amua kuweka Ne...
October 14, 2017
Naibariki Jumamosi yangu, SITAKUWA kama Nilivyokuwa tena, Mapato yangu YAMEBARIKIWA, Biashara zangu ZIMEBARIKIWA, Kazi zangu Ajira zang...
October 14, 2017
SOMO: ROHO MTAKATIFU: Roho Mtakatifu anapokuja kwa mtu anamfanya huyo mtu kuwa MKAMILIFU. Ukamilifu ni nini? Ni kufanya vitu kwa usa...
October 14, 2017
MTUMISHI WA MUNGU MTUME NA NABII JOSEPHAT ELIAS MWINGIRA : Kamwe usijinenee mabaya kwani itakuwa kama ulivyo jitamkia, unakuta mtu ana...
October 14, 2017
SOMO: NGUVU YA MUNGU : Yohana 14: 16" Nami nitamwomba Baba, naye atawapa Msaidizi mwingine, ili akae nanyi hata milele. " ...
October 14, 2017
U MTUME NA NABII JOSEPHAT ELIAS MWINGIRA : SOMO: NGUVU YA MUNGU : Wewe ni wa muhimu sana kwa Mungu, maana alimtoa Mwanawe wa pekee ili a...
Theme images by Maliketh. Powered by Blogger.