MTUME NA NABII JOSEPHAT E. MWINGIRA Yako mambo makubwa na mazuri mbele yako ambayo Mungu amekuandalia ndiyo maana ibilisi anahasira na wewe. Nakutangazia wewe uliyefika mahali hapa na wote mnao tufuatilia kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii, HAKUWEZI NI LAZIMA UWE VILE MUNGU AMEKUSUDIA, KWA JINA LA YESU

Comments