ZIARA YA MTUME NA NABII JOSEPHAT E. MWINGIRA: MKOA WA MOROGORO
SOMO:UTAYARI
Kuna mambo unaweza ukayafanya yaliyo nje ya uwezo wako MUNGU anayashughulikia, pia kuna mambo unayafanya MUNGU anayaona yako ndani ya Uwezo wako anakuachia, pia kuna vitu MUNGU ameviweka chini yako uvitetee usiache Jina la BWANA linatukanwa na wewe upo ukiacha hata Mtumishi wa MUNGU anatukanwa na wewe unacheka tu ujue wewe ni PUMBAVU.

Comments