ZIARA YA MTUME NA NABII JOSEPHAT E. MWINGIRA: MKOA WA MOROGORO
SOMO:UTAYARI
Akili Mali na Nguvu ulizonazo ukivitumia katika kumtukuza MUNGU ndipo atajua kuwa una Utayari ndani yako, ataondoa magonjwa na umaskini ili uzidi kumtumikia maana Utayari wako ndio unaomfanya MUNGU afanye maajabu kwako.

Comments