ZIARA YA MTUME NA NABII JOSEPHAT E. MWINGIRA: MKOA WA MOROGORO
SOMO:UTAYARI
Usimtumikie Mungu kwa vitu vya kuazima mtumikie kwa mali yako wala usimtumikie Mungu kwa kitu ambacho hakijakugharimu, maana Mungu ili atupate sisi alijigharimu kumtoa mwanae wa pekee Yesu Kristo, hivyo ili upokee kitu kutoka kwake inatakiwa ujigharimu kwa muda wako, mali zako na kwa akili yako.

Comments