MAMA ELIAKUNDA MWINGIRA
Hakuna aliye bora kuliko mwingine, ukisema wewe ni Mwalimu bila wanafunzi huna kazi, ukiwa Mchungaji bila washirika ni bure. Kila mtu anaumuhimu kwa mwingine kwasababu kila mmoja anamuhitaji mwingine, ukilijua hili kiburi kitaondoka na Kanisa litapona na kuongezeka. Ili maisha yako yawe Baraka jifunze kuheshimu wengine.

Comments