Jesus Only Jesus

November 30, 2014
He did not look at the answer of the paralyzed he said stand up and walk. He understood the faith in that man, the problem was who will Imm...

USHUHUDA

November 16, 2014
      Neema bakiri eneo la tukufu  Mungu amenitendea mambo makuu sana jambo la kwanza niliokoka 2010 lakini sikuweza kusoma madarasa nili...

SHUHUDA IBADA YA TATU JINA : ANNA VALENTINO Namshukuru Mungu nimekuja hapa Efatha nikaokoka nikasoma madarasa ya kukulia wokovu nilikua naumwa mwili mzima ila tumbo lilikuwa linanisumbua mpaka nikawa siwezi kubeba ndoo kubwa, pia nilikuwa siwezi kulala na tumbo lakini sasa tangu nimekuja hapa Efatha na nashukuru mwili umepona napia naweza kubeba ndoo kubwa, napia napenda kuwashukuru watu wa Tumaini walionyesha upendo wao kwangu hawakuniacha waliniombea na kunitia moyo, nawashukuru sana Mungu awabariki sana.

Theme images by Maliketh. Powered by Blogger.