MTUMISHI WA MUNGU GARY WINSTON:
Fedha ina kinywa, masikio na macho, lazima uiongeleshe fedha yako kwa sababu Biblia inasema fedha ni jawabu la mambo yote hivyo, kama fedha ni jawabu inamaana kuwa mtu lazima aiulize hiyo fedha. Unapaswa kuiamrisha pesa ikujilie na siyo ikwambie kuwa haitoshi.
Iamrishe pesa ikujilie na si ikuamrishe wewe, na ikiwa haitii yale unayo iambia basi iambie kuwa hutakaa uitumie tena bali utatumia hela mpya.

Comments