HABARI ZILIZOTUFIKIA!
******************************
Hatimaye Mgeni wetu Baba yetu, Mpendwa wetu, Mtumishi wa Mungu Dr Morris Cerullo amewasili Tanzania na Kesho majira ya Saa nne asubuhi anatarajiwa kuwepo katika mji wa thamani Precious center hapa Kibaha. Hakikisha hukosi kufika mahali hapa, njoo wewe na jirani yako na ndugu yako, najua utapokea muujiza wako uliochelewa siku nyingi. MUNGU AKUBARIKI

Comments