ZIARA YA KITUME NA KINABII - ZANZIBAR (IKULU).

PICHANI:
Mtumishi wa Mungu Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira na Makamu wa Raisi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mh. Balozi Seif Ali Iddi pamoja na Waziri wa Nchi Mh. Mohamed Aboud Mohamed na Viongozi wengine Watendaji wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Ikulu Zanzibar.


Comments