ZIARA YA KITUME NA KINABII - ZANZIBAR (IKULU).

PICHANI:
Mtumishi wa Mungu Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira, Mwalimu Mama Eliakunda Mwingira, Makamu wa Raisi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mh. Balozi Seif Ali Iddi, Waziri wa Nchi Mh. Mohamed Aboud Mohamed, Mchungaji Kiongozi wa Zanzibar Mch. Herry Nelson, pamoja na Watumishi wa Mungu Wachungaji Viongozi na Watendaji wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wakipiga Picha ya pamoja, Ikulu Zanzibar.

Comments