Naibariki Jumamosi yangu.........JUMAMOSI Yangu IMEBARIKIWA, Mapato yangu YAMEBARIKIWA, Haleluya, SITAPUNGUKIWA Kamwe maana BWANA YEYE Ni Mchungaji wangu MWEMA, na ANANIPENDA, Asante YESU Nakupenda BWANA.
Unapokaa ndani yake Kristo Lile pendo la kristo linahamishiwa kwako.unakuwa na ule upendo wa Kristo. 1.Tutashika amri zake Yesu 2.Tukikaa ndani ya Yesu atatundea mema 3.Hatutasengenyana, tutasaidiana, tutakuwa na Umoja 4.Yesu atatuombea kwa Baba wetu wa Mbinguni.
Comments
Post a Comment