PASTOR MICHAEL ORAWELE KUTOKA UK (KATIKA KUSANYIKO KUU 2016) SOMO : KUVUNJA KIZUIZI MBELE YAKO Hakuna mtua anaweza kufanikiwa katika maisha pasipo kumtii Mungu, kama unataka kufika mbali ni lazima ujifunze kumtii Mungu. Mungu anataka kukupeleka mbele, nimesoma kutoka kitabu cha Mwanzo hadi Ufunuo nimeona Mungu anapeleka watu mbele na siyo nyuma lakini kwa kutii. Ili uweze kuimiliki nchi ni lazima usonge mbele na wala usikate tama kwa kuwa hii ni saa ya kusonga mbele, kila kizuizi cha mipaka kitavunjika kwa kuwa nguvu ya Mungu iko hapa kuvunja kila kizuizi na kukuacha ili usonge mbele.


Comments