MTUME NA NABII JOSEPHAT E. MWINGIRA (Kutoka Precious Center Kibaha) (Amosi 3:7 “Hakika Bwana MUNGU hatafanya neno lo lote, bila kuwafunulia watumishi wake manabii siri yake.”) kwanini wewe ni maskini kabilalako au taifa lako ni masikini nisababu hakuna mtu aliye tayari kumsikia Mungu, siku ukiamua kusikia matatizo, umasikini, kushindwa kwako na magonjwa yako yatakwisha kwasababu yeye ndiye nanayesababisha wewe uyafanye yote, yeye hakufanyi kuwa mkuu bali anasababisha wewe uwe mkuu. Kama utaamua kusikia tena kwa bidii na ukafanya sawasawa na ulicho kisikia Baraka zote utaziamuru zikujilie yaani utakuwa huzikimbizi Baraka bali Baraka zitakukimbilia wewe.


Comments