MTUME NA NABII JOSEPHAT E. MWINGIRA Kabla hujapata maelekezo Mungu hawezi kukutangazia ubaadaye wako, tumekusanyika hapa ili tuweze kupata mafunzo ya kutembea na Bwana katika miaka hii saba ya Mtembeo wa Bwana, na huu ni mwaka wa pili. Hii siyo Ibada ya kawaida ni KUSANYIKO LA WANA WA MUNGU.


Comments