Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira:
Kipawa kinakuondolea kufa kama mende na unakufa kama mfalme. Hupati heshima mbinguni kwasababu ya nyama ulizonazo bali kwasababu ya KIPAWA ulichonacho na ndicho kitakachokupa nafasi Mbinguni. Jiulize unafanya nini hapa chini ya jua ili watu wengine waishi na kumtukuza MUNGU? Pasipo kipawa unakufa mapema, lakini ukiwa na kipawa unaishi maisha marefu.

Comments