TEAM YA TRENET TV

TEAM YA TRENET TV ikiwa kazini kwa nyakati tufauti Mungu azidi kuwatia nguvu kwa kazi yao njema ya kueneza injili kupitia TV. Trenet TV ni maono ya Mpakwa mafuta wa Bwana Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira. TRENET TV Inapatikana katika satelite dish na kwenye king'amuzi cha TING popote Tanzania. Wewe mwenye safari ya mbinguni hii ni chanel muhimu nyumbani kwako. Mungu akubariki na kukutunza.


Comments