Posts

Showing posts from October, 2014

Breaking News: Tunamshukuru MUNGU wetu MKUU, ambaye ni BABA yetu KIPENZI kwa Baraka na Zawadi nyingine ya kutupa Watoto wawili (2) muda huu hapa katika KUSANYIKO KUU lake TAKATIFU, Mmoja wa Kiume na Mwingine wa Kike (Mapacha). Kwa hiyo Jumla wamefikia watoto Kumi na saba (17). Hii ni ISHARA YA NINI? UFUNUO wa Watoto kumi (10) wa Kiume FUNGU LA KUMI UMETIMIA, MUNGU Wetu na BABA yetu AMETHIBITISHA KUWA "Wanawake ambao HAWANA Watoto, WANAENDA KUZAA, na VIUNO ambavyo (Wakina Baba) HAVIJA TOA Watoto, VINAENDA KUTOA WATOTO, Viuno hivyo VIMEKOMBELEWA

OMBEA WANAO: -Watengwe na yule ibilisi muovu. -Watengwe na uovu, dhambi. - Watengwe na kizazi cha uovu. - Watengwe na watoto watukutu. -Watengwe na ya duniani. OMBEA WANAO: - UKUTA wa MOTO uwakinge na yule ibilisi shetani.

Image

Usiku wa Mwisho wa Kusanyiko kuu tupate live kwa www.mixlr.com/efatha

Image
Haleluya Wana wa MUNGU, ni Muda mwingine mzuri wenye UTUKUFU na NGUVU ya MUNGU wetu MKUU katika Usiku huu wa Siku ya Saba ya Kusanyiko KUU la BWANA MUNGU wetu MKUU.  YEYE ni MUNGU wetu MKUU, YEYE ni BABA yetu Kipenzi, ametualika, ametuita  Wanawe katika Mji wake Precious Centre, ili tuje Tuongee naye, Tuje tusikilize Mafundisho yake Mazuri na Mausia Mema kwetu wanawe, Ametuita ili tuje kuuona UPENDO wake kwetu, Ametuita ili aje Akae nasi wanawe. BABA alimwambia Mtumishi wake Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira, kuwa "YEYE BABA Yetu MUNGU MKUU Anataka aje KUTUKUMBATIA, ANATAKA ATUONYESHE UPENDO WAKE WA KIBABA KWETU WANAWE", BABA yetu alisema kuwa "HATAKUJA KWETU kama MUNGU, au kama BWANA bali kama BABA, na Fahamu, YEYE kama BABA akishuka UPONYAJI, KUFUNGULIWA, KUWEKWA HURU, BARAKA Zinashuka pamoja naye, ndio maana tumekuwepo hapa kwa muda wote huu wa Siku saba mpaka sasa. Tunampenda MUNGU wetu, YEYE BABA yetu, Tunampenda, Tunamfurahia, Tunampenda. Kipindi cha Usiku k

Prayers until dawn join us now on www.mixlr.com/efatha

HOLY GATHERING 2014 Precious Centre Kibaha Tanzania. TIME FOR PRAYING. NOW. Sixth Prayer: Pray for SPIRIT OF THE LORD UPON ME. Join us LIVE Now through www.mixlr.com/efatha Efatha on Mixlr Listen live: Efatha is on Mixlr

Breaking News: Mtoto mwingine amezaliwa katika Kusanyiko hili la BWANA, Mtoto wa Kiume, sasa Jumla wanakuwa Watoto wa Kiume 10 (hili TENDO ni la UFUNUO, maana ya Watoto hawa Kumi (10) ni FUNGU LA KUMI na ISHARA ya KUWAFUNGULIA, KUWALETEA WATOTO WALE WASIO ZAA). Jumla sasa ni Watoto Kumi na tano (15), na wale wa Kike Watano (5), maana ya hawa Watano ni nini? Hawa maana yake ni Mabinti watano Bikira, wale wenye HEKIMA waliobeba Mafuta katika Taa zao.Moja kwa Moja "LIVE- SIKU YA SABA" toka EFATHA Kibaha Precious Centre-Tanzania pia LIVE STREAMING kupitia Simu yako ya Mkononi na Mtandao (Internet) .... Ungana nasi LIVE STREAMING :www.mixlr.com/efatha

Ni siku nyingine tena TAKATIFU kwa BWANA MUNGU wetu MKUU, Wana wa MUNGU tumekusanyika tena Hemani mwa BWANA MUNGU wetu MKUU tayari kupokea ambacho MUNGU BABA yetu ametuandalia kupokea leo, Tunamwambia Asante BABA na Tunamfurahia. Mbarikiwe Wana wa MUNGU.,-------------------------------------------------------------------------------------------- Moja kwa Moja "LIVE- SIKU YA SABA" toka EFATHA Kibaha Precious Centre-Tanzania pia LIVE STREAMING kupitia Simu yako ya Mkononi na Mtandao (Internet) .... Ungana nasi LIVE STREAMING :www.mixlr.com/efatha

Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira na Mama Elikunda Josephat Elias Mwingira, wakiwa Madhabahuni wakipokea Maandamano ya Wana wa MUNGU.

Image

Maandamano ya BWANA "MTEMBEO WA MUNGU KWA HAO ALIOWARIDHIA" MWAKA wa KIBALI Kusanyiko KUU 2014-Efatha Kibaha Precious Centre yakiwa yanaingia Hemani mwa BWANA. --------------------------------------------------------------------------------------------- Moja kwa Moja "LIVE- SIKU YA SITA" toka EFATHA Kibaha Precious Centre-Tanzania pia LIVE STREAMING kupitia Simu yako ya Mkononi na Mtandao (Internet) .... Ungana nasi LIVE STREAMING

Image

Maandamano ya BWANA "MTEMBEO WA MUNGU KWA HAO ALIOWARIDHIA" MWAKA wa KIBALI Kusanyiko KUU 2014-Efatha Kibaha Precious Centre yakiwa yanaingia Hemani mwa BWANA. :Moja kwa Moja "LIVE- SIKU YA SITA" toka EFATHA Kibaha Precious Centre-Tanzania pia LIVE STREAMING kupitia Simu yako ya Mkononi na Mtandao (Internet) .... Ungana nasi LIVE STREAMING :www.mixlr.com/efatha

Image

aleluya Wana wa MUNGU, Tunamshukuru BWANA na MUNGU wetu MKUU kwa jioni nyingine tena Nzuri na Takatifu, yenye Uwepo wa UKUU wa BWANA MUNGU wetu, ROHO MTAKATIFU akitawala, Karibu sana Mwana wa MUNGU, Jiungamanishe pamoja nasi Wewe ambaye bado hujafika mahali hapa, unaweza kuwa nasi kwa njia ya Television kupitia Channel yetu ya EFATHA Television (TRENET) na kupitia moja kwa moja LIVE STREAMING www.mixlr.com/efatha, pamoja na kwenye Blog yetu ya EFATHA www.efathaministrypage.blogspot.com na kwenye Website pia www.efathaministry.org. Karibu Mwana wa MUNGU, Jiungamanishe na Madhabahu. Ubarikiwe. --------------------------------------------------------------------------------------------- Moja kwa Moja "LIVE- SIKU YA TANO" toka EFATHA Kibaha Precious Centre-Tanzania pia LIVE STREAMING kupitia Simu yako ya Mkononi na Mtandao (Internet) .... Ungana nasi LIVE STREAMING

BREAKING NEWS: Tumepata Watoto 11 mpaka sasa, Yaani WATOTO 11 (Wa Kiume 6, wa Kike 5) wamezaliwa katika KUSANYIKO HILI KUU LA BWANA 2014 hapa katika Mji wa BWANA Precious Centre, wamezaliwa katika Dispensary yetu iliyoko hapa Kibaha Precious Centre,..... SIFA na UTUKUFU Tunamrudishia MUNGU wetu MKUU Aliye BABA yetu. Efatha Ministry kimbilio la wote; UPONYAJI na UKOMBOZI kwa Damu ya YESU KRISTO. --------------------------------------------------------------------------------------------- Moja kwa Moja "LIVE- SIKU YA TANO" toka EFATHA Kibaha Precious Centre-Tanzania pia LIVE STREAMING kupitia Simu yako ya Mkononi na Mtandao (Internet) .... Ungana nasi LIVE STREAMING

Kipindi Cha Mchana Kimeanza:

Image
Tupate kwenye Link ya www.mixlr.com/efatha: Askofu Mark Kariuki Uko Huru KweliKweli....hautabaki vile ulivyo Kuwa.

SHUHUDA: Walikaa MIAKA 15 bila kupata Mtoto -Shuhuda hii ilikuwa jana USIKU. Mwana wa MUNGU Mama huyu ni Mwenyeji wa kutoka Botswana, Mume wake ni Daktari Bingwa huko Botswana, na wote ni wa kutoka Botswana. Walikaa MIAKA 15 bila kupata Mtoto, WALIZUNGUKA Hospitali mbalimbali KUBWA na NDOGO lakini hawakufanikiwa kupata Mtoto (ingawa pia Mume wake alikuwa Daktari Bingwa), Wakaenda katika sehemu mbalimbali za MAOMBI huko kwao Botswana na sehemu zingine, lakini hawakufanikiwa. Siku moja walikutana na Mtu mmoja huko Botswana, akawaambia kuwa “MUENDE TANZANIA na Mkamuone Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira, Nanyi mtapokea Baraka Zawadi ya Mtoto”. Wakatii wakaja Tanzania, wakamtafuta Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira, wakaambiwa yuko Kibaha Precious Centre, basi wakajieleza kuwa wao wametoka Botswana na Wameelekezwa waje kumuona Mtumishi wa MUNGU. Mtumishi wa MUNGU akaambiwa kuwa kuna Wageni toka Botswana wanataka Kukuona, Mtumishi wa MUNGUAkasema “Wana Appointment na Mimi? Hakuna” Lakini Akaagiza Waruhusu waje. Wakaja Kibaha, wakakutana na Mtumishi wa MUNGU, Wageni hawa wakamwambia Mtumishi wa MUNGU, kuwa “Baba sisi tuna shida ya kupata Mtoto, Tumekaa Miaka kumi na tano (15), tunaomba UTUOMBEE”. Hawa Wageni baada ya kumwambia Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii, wakawa wanasubiri KUOMBEWA, …(HAIKUWA HIVYO: Badala ya KUOMBEWA Mtumishi wa MUNGU Akawaambia kuwa NENDENI kwenu Botswana Mkarekebishe Mambo yenu yaani MKAPATANE Na WALE MLIOWAKOSEA (kwa Upande wa Mume) na MKE akaende kufuta Maneno aliyokuwa ameyatamka akiwa Mdogo kwa Wazazi wake “Kuwa YEYE Hatakuja KUOLEWA na wala HATAKUJA KUZAA Mtoto” Hawa WAGENI Wakashangaa Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira AMEJUAJE Hayo yote? Wakamuuliza “UMEJUAJE?” Mtumishi wa MUNGU Akaawambia kuwa MKISHAFANYA HAYO, MRUDI TENA HUKU TANZANIA. Wageni hawa Wakarudi kwao Botswana bila KUOMBEWA CHOCHOTE, Wakaenda na WAKAFANYA Kama Mtumishi wa MUNGU ALIVYOWAAGIZA KUFANYA. Baadae Mwaka jana 2013 Mwezi wa Tatu (March) wakarudi tena Tanzania kuja kumuona Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira, Baada ya kufika, Baba Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii AKAONA NI KWELI WAMEFANYA KAMA ALIVYOWAAGIZA KUFANYA. Basi AKAWAAMBIA “ Mwaka huu (2013) MWEZI WA SABA MAMA Huyu ATAPATA UJAUZITO, … . (Hakuwaombea bali ALITAMKA NENO KWAO) OOOOoooh Haleluya “MUNGU Hasemi UONGO Kamwe”, NENO la Mtumishi wake KWELI LILIKUJA KUTIMIA, MUNGU wetu MKUU BABA Yetu YU HAI, YEYE Ni MWANZO na MWISHO, ALFA na OMEGA katika YESU KRISTO BWANA wetu ndani ya ROHO MTAKATIFU. Kweli huyu Mama ilipofika Mwezi wa Saba (Mwaka jana 2013) alishika Mimba, Alipata UJAUZITO kama Mtumishi wa MUNGU Alivyowaambia. Na leo ndio WAKEKUJA katika KUSANYIKO KUU HILI LA BWANA 2014, Kuja KUMSHUKURU MUNGU BABA Yetu kwa UPENDO MKUU MUNGU Aliyompa YEYE katika NDOA YAKE. LEO Ana Mtoto huyo Pichani unayemuona (anaitwa Timotheo) BAADA YA MIAKA KUMI NA TANO BILA MTOTO. HUYO ndiye MUNGU tunaye MUABUDU na KUMFUATA, HUYO ndiye YESU KRISTO BWANA wetu TUNAYEMUAMINI katika UWEPO wa ROHO MTAKATIFU Wetu. MUNGU BABA YETU Anasema “Yeremia 32:27 Tazama mimi ni BWANA MUNGU wa wote wenye mwili; Je! Kuna neno gumu lolote nisiloliweza?”

Image

Morning session sermon By Pastor Michael

MORNING SESSION 10 th October 2014 PASTOR MICHAEL The Storm is over……………….. Jesus said, “Peace be still.” In your life the storm is over, in your business the storm is over. Here the Word of the Lord, the storm is over. Let’s talk about storms. A storm is a distortion of the normal weather condition manifesting itself by wind of high force and no specific direction. A distortion may enter in the business and make your business stumble. It is also word used to define something else like, family crisis etc. this comes from a power that is dark. It shows that there is something that is not in place. I want you to understand today that the storm is over. When there are storms in your life know that you have something wrong in your life. We need to get connected with Jesus, for the storm to be at peace. Connect with Jesus, for when you connect with Him he connects with the Father. Make sure your Jesus is not sleeping. Wake Him up and stop the storm in your life. Be glad yo

Ibilisi anatafuta KUIBA au ALIIBA KICHEKO CHAKO, Lakini LEO Nakutangazia KUWA UTAENDA KUWA NA KICHEKO CHAKO katika:- - NDOA yako. - BIASHARA yako. - KAZI yako. - FAMILIA yako. - MAISHA yako. - AFYA yako. DHORUBA IMEKWISHA, The STORM IS OVER, CELEBRATE Now, SHEREKEA Sasa, MUNGU Ni MMWEMA, MUNGU Asante, Haleluya, Haleluya- HILI Ndilo NENO LA BWANA. --------------------------------------------------------------------------------------------- Moja kwa Moja "LIVE- SIKU YA TANO" toka EFATHA Kibaha Precious Centre-Tanzania pia LIVE STREAMING kupitia Simu yako ya Mkononi na Mtandao (Internet) .... Ungana nasi LIVE STREAMING

Image

The devil is after our laughter(Kicheko chako)

He steals the joy from you, But now its time for laughing again, the joy is Back. All that has been hindered by Satan are now there is laughter again, he has no authority over you, the storm is over, Rejoice i say again Rejoice. join us on www.mixlr.com/efatha by Pastor Michael Oluwore

Kipindi (Session) cha Asubuhi kimekwisha anza, Mtumishi wa MUNGU Pastor Michael kutoka New Wine Church-Uingereza yupo Madhabuhuni. "The STORM is OVER, DHORUBA IMEKWISHA" - Dhoruba katika Ndoa: Imekwisha, - Dhoruba katika Biashara:Imekwisha - Dhoruba katika Kazi: Imekwisha - Dhoruba katika Afya yako: Imekwisha - Dhoruba katika yanakupata: YAMEKWISHA Jiungamanishe Moja kwa moja "LIVE" kupitia www.mixlr.com/efatha --------------------------------------------------------------------------------------------- Moja kwa Moja "LIVE- SIKU YA TANO" toka EFATHA Kibaha Precious Centre-Tanzania pia LIVE STREAMING kupitia Simu yako ya Mkononi na Mtandao (Internet) .... Ungana nasi LIVE STREAMING

Image

Naibariki Ijumaa yangu... kwa Maana Mimi ni Mbarikiwa wa BWANA, na YEYE alishanisamehe dhambi zangu, BWANA wa mabwana, Mfalme wa wafalme, Ameniweka HURU kwa KIFO chake Msalabani, na HUU kwangu ni MWAKA KIBALIIIIII, Hakuna cha KUNIZUIA, Mimi ni MSHINDIIIIIII, Haleluyaaa. (Tupo Hewani pia "ON AIR" kupitia LIVE STREAMING www.mixlr.com/efatha, Wewe ambaye hujafika bado jiungamanishe sasa toka Madhabahuni) --------------------------------------------------------------------------------------------- Moja kwa Moja "LIVE- SIKU YA TANO" toka EFATHA Kibaha Precious Centre-Tanzania pia LIVE STREAMING kupitia Simu yako ya Mkononi na Mtandao (Internet) .... Ungana nasi LIVE STREAMING

Image

Muulize Jirani yako: JE BWANA YESU Akirudi sasa, Je UTANYAKULIWA? Katika kujibu hilo swali, jiulize haya: 1. Je una deni lolote?, Unadaiwa deni lolote? 2. Toka Mwaka huu uanze Umewafanyia nini Wazazi wako? Toka Mwaka huu uanze Umewafanyia nini Wakwe zako? Toka Mwaka huu uanze umewafanyia Wazazi wako wa Kiroho (Baba yako wa Kiroho)? 3. Umelipa Zaka zako zote? Hujasahau kulipa Zaka zako? Hujaiba Zaka? Hujamuibia MUNGU Zaka? 4. Unawasikiliza Watumishi wake? Unamsengenya Mtumishi wake? 5........... :Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira. --------------------------------------------------------------------------------------------- Moja kwa Moja "LIVE- SIKU YA NNE" toka EFATHA Kibaha Precious Centre-Tanzania pia LIVE STREAMING kupitia Simu yako ya Mkononi na Mtandao (Internet).

Evening Session:with Our Dad Apostle and Prophet Josephat Elias Mwingira join us now on www.mixlr.com/efatha

Image
Kipindi Cha Jioni Kimekwisha aanza, Mtumishi wa Mungu Nabii Josephat Elias Mwingira Yupo Madhabahuni. Zacharias 13:9 Romans 12:1-2 Mathew 25:1-13;

AFTERNOON SESSION 9TH OCTOBER 2014 BISHOP MARK KARIUKI

Image
Mahubiri ya Kipindi cha Mchana Yanaendelea, Madhabahuni yupo Mtumishi wa Mungu Bishop Mark Kariuki toka Kenya God is not a respecter of persons. He is God of hosts. By the time you leave this place, your life will have change.  I shall not be described by what I wear, but I will describe what I wear. 1John 5:15-15 says that if pray for anything according to His will, we shall receive. The secret of receiving is asking by the will of god. How to know the perfect will of God 1.        Train ourselves to live, from Gods perspective. We have to surrender a perspective and surrender to the perspective of God not what so and say about me. When you see yourself in Gods perspective, you will never go wrong. A label is a name or title put on a person or product in order to describe the person or the product. Therefore when one sees the label, then they conclude their worse. People put labels on others, according to their own assessment. One can look at you and put a label on

Afternoon Session With Bishop Mark Kariuki Don't Miss

Kipindi cha Mchana Kimeanza na sasa Wana wa Mungu wapo Madhabahuni Wakimsifu Mungu Baba yetu. Tuko hewani Kupitia www.mixlr.com/efatha. Operation Ondoa label ya Zamani Na Bishop Mark Kariuki .

SECOND SESSION BY PASTOR MICHAEL

I am here to provoke you today. God has a purpose for you, and you will fulfill the purpose of God. I am destined to fulfill my purpose. It shows that you are here for a purpose and for a purpose. It is therefore important for us to understand pour purpose. God does not want you to continue with life without going through your purpose. With the agenda of God you have a purpose. There is a place where God want you to pass. I want to fulfill today to understand your importance in the world. People came with big purposes, but they left without fulfilling their purpose. Matthew 5:14. Do what is destined for you in the world and glorify the name of God. The light is your identity. Don’t forget that you are a mission for the lord. Let us put a purpose for being an assignment of the Lord. You are here to change the world. You are a world changer. You are an answer bringer; you are an answer to the world. Everyone who is a believer is an assignment to the world. If you do not disc

Pastor Michael Olawore wa Kanisa la New Wine Church-Uingereza: "Kila MTU ana KUSUDI ambalo MUNGU Alimuumbia, Wewe ni Ufumbuzi wa Taifa lako, Wewe ni Ufumbuzi wa Mahali pako, Wewe UNALO KUSUDI"

Image

Pastor Michael live now....www.mixlr.com/efatha

You are the World Changer. God is going to position you, and you are destined to fulfill that purpose. Because you were born for a purpose. Mathew 5:14 You are the light of the world. A town built on a hill cannot be hidden.....If you don't know your purpose you will live a life full of struggles. Purpose opens ways in life.Purpose is original intention for existence of a things, its the beginning of a things. That reason  to become somebody. Joins us now....www.mixlr.com/efatha 

MORNING SESSION BISHOP MARK KARIUKI

MORNING SESSION BISHOP MARK KARIUKI I am here to uplift Jesus. So today, whether you like it or not, you will be blessed today. It doesn’t matter who said you will not be blessed, today you will be blessed. My life will never ever, ever be the same again in Jesus Name.  You neighbor cannot help you for it is only you and God who know how you live. Don’t let your neighbor to intimidate you. My life will never ever, ever be the same again in Jesus Name. Deal with the power that prevents you from doing what God wants you to do. We are going to deal with it. Eph 4:8 In other words He is the gift giver. I want you to understand something; He has all the gifts, but He understands that without getting captivity captive, He cannot give this gift and you cannot get this gift. It thereof shows that there is an enemy called captivity which has to be dealt with in order for you to enjoy what the Lord has given you. To get to your destiny, that power of captivity has to b

By Bishop Mark Kariuki Efatha Precious Center

Waliokucheka, Waliokudharau, Waliosema hutazaa, Waliosema Hutajenga Nyumba, Waliosema Hutafanikiwa,Waliosema Hutaweza, Waliosema utakufa, Waliosema Utafilisika, Waliosema Utafeli Mitihani, Waliosema Hutamaliza Shule,Waliosema Hutaolewa, Hutaoa, Hutakuwa na pesa,Waliosema Hutashinda Ndio Watasema Bwana amewatendea Mambo Makuu" Pokea Miujiza Yako Kwa Jina la Yesu Kristo Mwana wa Mungu aliye Hai.

Mahubiri ya Asubuhi: (Bishop Mark Kairuki) - "Mateka" Nimeumbwa KUTAWALA, kutawala pesa zangu, kutawala nyumba yangu, kutawala Kazi zangu, Kutawala Uchumi wangu. Mateka ni nini? Kutoweza kwenda kule ambapo hukutaka kwenda, kushindwa kufanya jambo ambalo unataka kufanya. Mateka ni kujisalimisha kwenye mamlaka ambayo siyo ya KIMUNGU Leo ile nguvu yeyote ambayo ilikuwa inakuzuia kufikia Kipawa”destiny” chako, Mafaniko yako, Ustawi wako, Biashara zako kufanikiwa: LEO ZIMESHINDWA KWA NGUVU YA JINA LA YESU. --------------------------------------------------------------------------------------------- Moja kwa Moja "LIVE- SIKU YA NNE" toka EFATHA Kibaha Precious Centre-Tanzania pia LIVE STREAMING kupitia Simu yako ya Mkononi na Mtandao (Internet).:

Image

By Bishop Mark Kariuki

Image
Your  life will never ever be the same again! Join us now on www.mixlr.com/efatha Ephesians 4:8 In order for you to get blessed , you have to get rid of the power of captivity. When your freedom is limited then you are in captivity, so free yourself from captivity and reign in blessings. Captivity is inability to go where you want to go.that means there is a power limiting you. Captivity is where you have surrendered yourself to a foreign authority. But today we are turning around that power in Jesus. Captivity will take you away from your destiny. Joins us now live streaming on www.mixlr.com/efatha Jeremiah 1:5 I knew you before i formed you in your mother's womb. Before you were born i set you apart and appointed you as my prophet to the nations. Jeremiah 29:1 what he said he will fulfill he will do, he told the people who were in captivity to build house and marry, and also make peace with people of the land.

Kusanyiko Kuu 2014 tuko live kuanzia saa hii!

Image

Shuhuda! Mambo Makuu ambayo Mungu ametenda!

IBADA YA TATU YA TAREHE 08/10/2014  JIONI/USIKU USHUHUDA  KATIKA MAKUSANYIKO 1.        James josephat masika Sayuni Zone Yehova anamshukuru Mungu kwa mwaka jana katika kusanyiko la 2013 Mtume Na Nabii J.E.MWINGIRA alisimama wakati akihubiri katika kusanyiko la mwaka 2013 gafla akatulia  akatoa agizo akasema andika mambo 5, 1. Unataka Mungu akufanyie kwa watu ambao wapo tayari kumtumikia ilikuwa Israel na alikwenda 2. Alisema huwezi kufanya jambo kubwa kama huna hela lakini akasema yeye anataka kulala nyumba ya gorofa mpaka sasa amenunua kiwanja na hela ya kujenga tayari anayo 3. Akatamani sana kuhubiri ilipofika mwezi wa 7 Musoma akahubiri akaharibu kazi za shetani na mchungaji kaenda na watu 15 wapo katika kusanyiko 4. Akasema jambo lingine akasema mimi ni dereva nikaomba Mungu anipe gari aina ya min bus na ninagari hiyo halina preti namba lina wagonjwa hapa katiaka kusanyiko kwa sasa. 5. Nilikuwa nanatamani ndugu zangu waokoke na sasa baba yangu aliyekuwa mkuu wa matambiko ka

Testimonies session.

Join us now on www.mixlr.com/efatha for live streaming!

We are on follow us live. direct from Efatha Kibaha precious Center

Get us live from  www.mixlr.com/efatha Usikate Tamaa na Ndoto zako, Dont give up with your dreams....Mtazame Yosefu leo anakushuhudia Maisha yake...Aliota Ndoto akachukiwa na Ndugu zake lakini alishikilia ndoto zake, akatupwa shimoni lakini aliendelea kushiriki ndoto zake, akauzwa utumwani lakini akaendelea kushikilia ndoto zake, akashawishiwa na mke wa bosi wake atembee naye lakini alikataa alishikiria ndoto zake, akatupwa gerezani akaendelea kushiriki ndoto zake....Nawe leo Yosefu anakuambia Usikate Tamaa na Ndoto zako:Pastor Michael.

Wana wa Mungu Karibuni Katika Kipindi Cha Mchana.

Image
Kusanyiko Kuu La Bwana Mungu wetu Mkuu, Yesu Anakupenda sana, yesu anakupenda, Mungu Ameamua Kukukumbatia wewe Mwanae, Njoo Karibu Yake, Mkaribie sasa Uone Upendo wake kwako, Mungu Baba YETU Ameongea Na Mtumishi wake Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira Kuwa "Mungu Baba anataka kuwakumbatia wanawe Njoo sasa" Kwa wale ambao bado Hamjafika Mahali hapa. Popote Pale Mlipo Ulimwenguni, Unaweza Mkajiunga Live toka Mji wa Bwana Efatha Kibaha Preciuos Center"Live streaming kupitia www.mixlr.com/efatha Mungu Awabariki sana. Evangelist Chuks (Mwanamuziki wa Nyimbo za Injili)akimwimbia Bwana Mungu wetu Nyimbo za sifa, na wana wa Mungu wakifurahia na kumchezea Bwana.

SECOND MORNING SESSION PASTOR MICHAEL

When Moses met with the Lord in the mountain, he comes down from the mountain and everyone knew that He had met with God. It is your responsibility to search for those in the darkness and let your light shine on them. It’s time to crossover. The Lord says that it now the time for you to crossover Mark 4:35. Today we have come to God and let us cross over to the second side. Jesus came to then and he said them, Let us cross over. Jesus was calling them to come out of the past. He was calling them to crossover. This time God is calling you to cross over to the other side. To cross over means to come out of the old and be in the new from failure to success, from sorrow and embrace love. Your light is shinning already, so you need to crossover. Wherever you are today is not your destination, you need to move forward. Jesus said let us cross over to the other said. God want you to cross over. 3 things Jesus did. Jesus did not ask them to go where they came from. Des

Its Time To crossover Sermon: By Pastor Michael

Image
Cross Over Sermon By Pastor Michael;Forget the past, and cross over to the other side, Dont look at the surroundings cross over to the other side. Don't listen to what people says about you cross over to the other side. cross over cross over; Because Jesus is on your side to help you cross over no matter What. Its time to cross over,Jesus telss you that cross over, Yesu anakuambia sasa ni wewe Kusonga Mbele na sio Kurudi Nyuma. Wana wa Israel walipotoka Misri na Farao kuwafuatia Nyuma, mungu alaimwambia Musa"Songa Mbele na wana w Israel" Ingawa Mbele kulikuwa kuna Bahari ya sham, Hakukuwa na Njia, Lakini Mungu aliwaambia Songa Mbele;..Nini Kilitokea?Bahari ya Sham iligawanyika Katikati,Na wana wa Israel walipita,"WALISONGA MBELE" nawe Bwana Yesu leo Anakuambia TUVUKE, na wiki ya Kusanyiko Hili Kuu La Bwana 2014,Utayaacha Nyuma Yale Mabaya Yanayokutesa'  Na Mchungaji Michael Kutoka Uingereza.  Live From Efatha Kibaha Precious Center-Tanzan

MORNING SESSION 8TH OCTOBER 2014 Pastor Michael: Summary

MORNING SESSION 8 TH OCTOBER 2014 Pastor Michael Expectation is very powerful. God gives you according to your expectation. God will meet you according to your expectation. Expect from God to receive from HIM. This is our year of favour, the family of Efatha. Together this is our year. Your life as to be confirmed this week. My message this day is that you are destined to shine. Mathew 5:14 (You are the light of the world) You were not called to try to be the light, but you are the light of the world. There is something in the inside of you that the world shall see. You are called to make impact; you are called to make a change in the world. Your identity is that you are the light. Understanding your identity is very important for the purpose of your life. You must understand who you are. Knowing your identity increases your confidence. The biggest battle in your life is the battle of knowing your identity, for the devil does not want you to understand your iden

By Pastor Michael...Talking On Color,

Image
Your color should never explain to you who you are, Disability should never tell you who you are. To God all things are Possible,God has all ways you need to pursue in this world. Dwell in him. May God's Power be established in you for you are entitled to change the world.

Pastor Michael Kutoka Uingereza.

Image
Wewe ni nuru ya Ulimwengu, Kitu ndani yako, Wewe ni Nuru ya Ulimwengu, wewe tayari ni Kichwa na sio Mkia, wewe tayari ni wa kwanza na sio wa Mwisho, Lakini leo hii watu wanajaribu kutaka kuwa vile tayari ndivyo walivyo. shetani alimdanganya  Hawa kuwa akila tunda atafanana na Mungu, wakati tayari Neno linasema Mungu alituumba Kwa mfano wake, Hatuhitaji kuwa Kama Mungu,Wewe ni Nuru ya Ulimwengu, Live from EFATHA PRECIOUS CENTER KIBAHA. Mungu hakumwangalia Musa Kama mtu mwenye Kugugumizi, ambaye hawezi Kusema bali alimuangalia Kama Mkombozo wa Wa Taifa La Israeli. We are the world Changers, we are the light of the world, Good news!!! For those who are using Smartphones; You can join us by downloading Mixlr android application from Google Play store...Look for Efatha Channel.

Wakati wa Sifa na Evang Chuks Kutoka Nigeria

Image
Evang, Chuks Chidube(MwanaMuziki wa Nyimbo za Injili Kutoka Nigeria akiwa Madhabuhuni akimwimbia Mungu Nyimbo za Sifa. Mwaka Wa Kibali: MWAKA WA KIBALI 2014, THE YEAR OF FAVOR 2014, Asante Yesu kwa Upendo wako kwetu. Moja kwa moja Live! Kupitia  www.mixlr.com/efatha .

Live from Kibaha Precious Center Tanzania!

Moja Kwa moja "Live-Siku ya Tatu" tok Efatha Kibaha Precious Center-Tanzania) pia Live Streaming kupitia Simu Yako ya Mkononi na Mtandao(Internet) kupitia www,mixlr.com/efatha

Third day of the greatest Gathering In Efatha Ministry Precious Center:Ni Siku nyingine tena, Asubuhi nzuri yenye UPENDO na BARAKA na AMANI na FURAHA na NEEMA na REHEMA na UTUKUFU toka kwa MUNGU wetu MKUU Imeanza, na sasa SESSION (Kipindi) cha Asubuhi KUSANYIKO hapa kimeanza, na sasa Wana wa MUNGU tumeanza KUMSIFU YEYE PEKEE Anayestahili KUSIFIWA, MTAKATIFU wa Watakatifu, MUNGU MKUU PEKEE, Hakuna Mwingine, ALFA na OMEGA, JEHOVA..... Karibu Mwana wa MUNGU ambaye bado hujafika mahali hapa, Shiriki nasi KUSANYIKO HILI KUU LA BWANA 2014.

Give to the parents according to your level.

Ni aibu tena ni Laana, wakati wewe Umevaa suti na Baba yako anavaa malapumalapu, Ni aibu tena na Laana, wakati wewe unalala sehemu nzuri Mama yako analala kwenye sehemu ya shida, Ni aibu tena na Laana wakati Wewe unakaa kwenye Nyumbani nzuri ina choo cha kuflash na unakaa vizuri wakati mama yako anakaa Kijijini akitumia karabai, Siku hizi kuna Solar, Mnunulie Solar. Wewe unakaa kwenye nyumba yenye  Kiyoyozi halafu Mama yako anakaa kwenye nyumba ya Tembe, Wewe unakula Nyama za kuchoma, nyama za Kukaanga na Mama yako anakula Mlenda…. Halafu unataa MUNGU AKUAMINI. SIKILIZA Wakati wewe Unakuwa, YEYE (Baba yako, Mama yako) walikuwa wanakuangalia kama Umekula, Lakini wewe leo hii utaki kujua kama wamekula. Unapowatunza Wazazi, Unavunja vile vizuizi vilivyowekwa. Moja kwa Moja "LIVE- SIKU YA PILI" toka EFATHA Kibaha Precious Centre-Tanzania) pia LIVE STREAMING kupitia Simu yako ya Mkononi na Mtandao (Internet).

Jioni ya Usiku wa Tarehe 7 Kusanyiko Kuu!

IBADA YA JIONI  SIKU YA TAREHE 7/10/2014 NA MTUMISHI WA MUNGU MTUME NA NABII J.E.MWINGIRA ·          Huwezi kuwa na busara na wakati huo huo unakua mtu mwoga, ukiwa jasili ni lahisi sana wewe kuwa na busara ·          Hekima au busara inakusaidia wewe kukaa katika njia ipasayo, ·          Hekima inakusaidia wewe kusimamia kile unacho kijua ·          Hekima ile itakayo kusaidia wewe kukaa wewe katika mwelekeo wa kiungu ·          Ukiwa jasiri haiwezekani ukatikiswa kwa vitu vyakupita Watu wa kiyaudi walipokua wakitoka Misri kuelekea nchi ya kaanani kulikuwa na njia rahisi sana kupita katika bahari njia ambayo ilikua na mabonde litaka yeye kuwasaidia na kujibu imani yao na kujibu tumaini lao huwezi kuwa jasiri kama hutopita katika majaribu. Huwezi kuwa na tumaini kama huna usaidizi. Ujasiri utakusaidia wewe kuingia katika imani yako. Ndio maana Mungu alinichukua katika bahari ya shamu kwanini Mungu alitumia njia ile Mungu alitaka kutumia njia ile ili kutaka kumali

Mafundisho Yameanza!

Mafundisho/Mahubiri yameanza....na Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira, EFATHA MINISTRY.

Things that can make you get God's Favor

For you to get God's favor you should be determined, courageous, and somebody who can not be shaken by any  circumstances. For you to be courageous there must be obstacles. Don't cry  when you see enemies around you.Know that it's your time to step on them. Every courageous person is entitled to prosper, Because they keep the lord's Covenant.

Sifa Kwa Bwana Yesu!

POKEA SIFA za Moyo wangu.... POKEA BABA ....Pokea SIFA za Moyo wangu..... Pokea Bwana... Moja kwa Moja... LIVE- SIKU YA PILI toka EFATHA Kibaha Precious Centre-Tanzania, pia unaweza kujiunga LIVE STREAMING kupitia Simu yako ya Mkononi na Mtandao Internet kwa  www.mixlr.com/efatha .

SESSION (KIPINDI) ya JIONI-USIKU ndio inaanza.... KUSANYIKO KUU LA BWANA 2014, Efatha Kibaha Preciuos Center-Tanzania.

Image
Tupo pia LIVE STREAMING kupitia  www.mixlr.com/efatha , unaweza kujiunga nasi kwa njia ya Simu yako ya Mkononi (Smart phone) na kupitia Mtandao (internet). Efatha on Mixlr Listen live: Efatha is on Mixlr

LIVE LIVE AUDIO!!! From Precious Center Kibaha

Image
AUDIO LIVE STREAMING NOW kupitia address hii  www.mixlr.com/efatha Unaweza kusikiliza Mahubiri/Mafundisho na yote yanayojiri hapa Mji wa BWANA Efatha Kibaha Precious Centre katika KUSANYIKO HILI KUU 2014 kwa Audio LIVE STREAMING kwa kupitia address ifuatayo: www.mixlr.com/efatha  kupitia Simu yako na kwenye Mtandao Internet, jiunge sasa. Add caption Efatha on Mixlr MIXLR.COM

UNGANA Nasi (KUSANYIKO KUU LA BWANA 2014) LIVE Moja kwa Moja toka Efatha Kibaha Precious Centre kupitia Audio LIVE Streaming www.mixlr.com/efatha

http://www.mixlr.com/efatha

Listen the service live, from Kibaha Precious Center

Image
http://mixlr.com/efatha

SESSION YA PILI/ KIPINDI CHA MCHANA Kimeanza...Pastor Micheal Kutuko Uingereza...No more limitation no barriers again. after a long period of struggle no more more crying.

Image

HOLY GATHERING at EFATHA KIBAHA Precious Centre 2014. MORNING TEACHINGS: Apostle & Prophet Josephat Elias Mwingira. HOW TO DEFEAT THE DEVIL Ephesian 6:11. Put on the amour of God. Do whatever you can to defeat the devil. You are experiencing defeat because of sin. 1Peter 5:8-9. A Holy life is the key that allows God’s presence in you at all the time. Let the fire keep burning inside of you, to keep holiness to keep burning in you. Jeremiah 23:29, John 17:17, Allow the Holy spirit to stay in you. Holiness is a character of God our father. You cannot separate Holiness and GOD. When you are Holy it means you are with God and if not, you are with the devil. In these last days, GOD will not walk with those that are not on fire. God is keen on your relationship with one another. You have to walk together in one accord for the fire to burn. Differentiate yourself with other by making goals. YOUR GOALS When Jesus asked Peter whether he loved Him, He wanted to know what goals Peter had. How you work will determine whether God can trust you. Your way of offering makes God to trust you. It is the way you give offering that makes God to trust you. Five points to work on - Your persistence in prayer does not make you bare fruit; butt sowing a seed on the ground makes you bare fruit. You may have a seed in your hand and start fasting and praying and this will never work; until you sow the seed. Sowing will help you to gain. - The best seeds and the most seeds will open the way to show how much fruit you will harvest. - If the seed will not the put in the ground it shall never bear fruit. - Prayer and fasting with no action remains like wheat that is not planted on the ground - Remember to sow on the fertile land. Don’t waste your time talking with people who give you nothing in life. Don’t love talk that does not add you anything in life. Keep away from non-profitable chat. Every tree bares fruit in its own time. We are trees baring fruit according to the seed within us. Psalm 1:3 (Not outside) and on its season. Wait by that river; at the river of Efatha, Wait, and in your season you will reap. Don’t look at others, for they come from a different kind of tree and mature at a differently from you. A mango tree cannot mature at the same time as an apple tree. When you wait patiently and at the right time you will start to harvest your fruit. Know your season!!

Sifa Kwa Bwana Yesu!

Image
HASHINDWI NENO LOLOTE, YEYE ni BWANA wa MABWANA, Nimemuona MEWANAUME, Nimemuona EMMANUEL, Tunakushangilia BWANA, ni WEWE ni WEWE, Ni WEWE BWANA, Ni WEWE WEWE TU BWANA, Ni WEWE TU YESU, Ni WEWE YESU, Nimemuona MWANAUME, NIMEMUONA YESU BWANA WANGU, YESUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU Moja kwa Moja "LIVE- SIKU YA PILI" toka EFATHA Kibaha Precious Centre-Tanzania)

Hakuna "Retirement, Hakuna Uzee katika Ufalme wa MUNGU", ukiwa na Miaka 20 Wewe ni Kijana, Ukiwa na miaka 50 Wewe ni Kijana, Ukiwa na Miaka 80 Wewe ni Kijana, Ukiwa na miaka 120 wewe ni Kijana, Ukiwa na miaka 200 WEWE NI KIJANA MBELE YA MUNGU, Hakuna Retirement mbele ya MUNGU, Hakuna UZEE MBELE YA MUNGU..... Sema MIMI NI KIJANAAAAAA, Usiruhusu shetani akusukume mbele na nyuma..... MAFUNDISHO (Asubuhi hii na Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira) Moja kwa Moja "LIVE- SIKU YA PILI" toka EFATHA Kibaha Precious Centre-Tanzania)

Kumbuka ROHO MTAKATIFU Anaweza kuondoka, kumbuka UTAKATIFU ni Tabia ya MUNGU wa Mbinguni, huwezi kutenganisha UTAKATIFU na MUNGU, kama ukiwa una chembe chembe za dhambi, basi wewe ni AGENT (wakala) wa shetani...." MAFUNDISHO (yamekwisha anza Asubuhi hii na Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira) Moja kwa Moja "LIVE- SIKU YA PILI" toka EFATHA Kibaha Precious Centre-Tanzania)

Utakatifu ndio unaomfurahisha Mungu, Epuka dhambi, kaa Mbali na dhambi, Utakatifu ni tabia ya Mungu, Huwezi kuutenganisha utakatifu na Mungu.Mtume na Nabii (live kutoka Madhabahuni Precious center kIbaha).

Naibariki Jumanne Yangu

Image
Mimi ni MOTO, Nimebeba MOTO, shetani akimbia,.....   (KUSANYIKO KUU LA BWANA 2014 Efatha Kibaha Precious Centre laendelea, leo ni Siku ya Pili, Usikose Mwana wa MUNGU.)

SIKU YA PILI YA KUSANYIKO KUU LA BWANA 2014

Image
Pichani kwaya kutoka Efatha Ministry -Arusha wakiongoza nyimbo za Kumuabudu MUNGU Wetu MKUU muda huu wa asubuhi wa kuanza kipindi cha Asubuhi.  (Moja kwa Moja "LIVE" toka EFATHA Kibaha Precious Centre-Tanzania)

SIKU YA KWANZA KUSANYIKO KUU 2014

Image
Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira Katika Usiku wa siku ya Kusanyiko Kuu Precious Center Kibaha akiadhimisha uwepo Watu wa mungu wakibubujika mbele za bwana

Mchungaji Kiongozi wa Efatha Kenya, Betson Kikoti akiwa na Mke wake.Siku ya Kusanyiko kuu 2014!

Image