Faida za kukaa ndani ya Yesu;

Unapokaa ndani yake Kristo Lile pendo la kristo linahamishiwa kwako.unakuwa na ule upendo wa Kristo.
1.Tutashika amri zake Yesu
2.Tukikaa ndani ya Yesu atatundea mema
3.Hatutasengenyana, tutasaidiana, tutakuwa na Umoja
4.Yesu atatuombea kwa Baba wetu wa Mbinguni.

Comments

  1. Tukikaa ndani ya yesu tutapewa madaraka yote

    ReplyDelete

Post a Comment