Wana wa Mungu Karibuni Katika Kipindi Cha Mchana.

Kusanyiko Kuu La Bwana Mungu wetu Mkuu, Yesu Anakupenda sana, yesu anakupenda, Mungu Ameamua Kukukumbatia wewe Mwanae, Njoo Karibu Yake, Mkaribie sasa Uone Upendo wake kwako, Mungu Baba YETU Ameongea Na Mtumishi wake Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira Kuwa "Mungu Baba anataka kuwakumbatia wanawe Njoo sasa"

Kwa wale ambao bado Hamjafika Mahali hapa. Popote Pale Mlipo Ulimwenguni, Unaweza Mkajiunga Live toka Mji wa Bwana Efatha Kibaha Preciuos Center"Live streaming kupitia www.mixlr.com/efatha
Mungu Awabariki sana.



Evangelist Chuks (Mwanamuziki wa Nyimbo za Injili)akimwimbia Bwana Mungu wetu Nyimbo za sifa, na wana wa Mungu wakifurahia na kumchezea Bwana.


Comments