Sifa Kwa Bwana Yesu!


POKEA SIFA za Moyo wangu.... POKEA BABA ....Pokea SIFA za Moyo wangu..... Pokea Bwana...
Moja kwa Moja... LIVE- SIKU YA PILI toka EFATHA Kibaha Precious Centre-Tanzania, pia unaweza kujiunga LIVE STREAMING kupitia Simu yako ya Mkononi na Mtandao Internet kwa www.mixlr.com/efatha.

Comments