Shuhuda! Mambo Makuu ambayo Mungu ametenda!

IBADA YA TATU YA TAREHE 08/10/2014  JIONI/USIKU
USHUHUDA  KATIKA MAKUSANYIKO

1.       James josephat masika Sayuni Zone Yehova anamshukuru Mungu kwa mwaka jana katika kusanyiko la 2013 Mtume Na Nabii J.E.MWINGIRA alisimama wakati akihubiri katika kusanyiko la mwaka 2013 gafla akatulia  akatoa agizo akasema andika mambo 5, 1. Unataka Mungu akufanyie kwa watu ambao wapo tayari kumtumikia ilikuwa Israel na alikwenda 2. Alisema huwezi kufanya jambo kubwa kama huna hela lakini akasema yeye anataka kulala nyumba ya gorofa mpaka sasa amenunua kiwanja na hela ya kujenga tayari anayo 3. Akatamani sana kuhubiri ilipofika mwezi wa 7 Musoma akahubiri akaharibu kazi za shetani na mchungaji kaenda na watu 15 wapo katika kusanyiko 4. Akasema jambo lingine akasema mimi ni dereva nikaomba Mungu anipe gari aina ya min bus na ninagari hiyo halina preti namba lina wagonjwa hapa katiaka kusanyiko kwa sasa. 5. Nilikuwa nanatamani ndugu zangu waokoke na sasa baba yangu aliyekuwa mkuu wa matambiko katika ukoo wetu ameokoka na amekuja hapa na mashangazi wangu wawili na ndugu zangu wote wameokoka na wapo hapa.
2.       Mkesha wa mwaka mpya 2013  nilivunjika mguu nikaambiwa natakiwa nikatwe lakini nilipofika  Efatha kuna watakatifu nilipo pewa sara ya toba na baada ya kurudi nyumbani nikafokewa na ndugu zangu wakanimfokea kwanini umeendana pia bado hujapona sasa nikajitetea kwamba Yesu namjua leo na mnataka nipone leo sasa? Nikamwambia Yesu lazima nikuone nilipotangaziwa kuwa huu ni mwaka wa Kibali nikaja katika kusanyiko na baba mtume akaniombea na niliponywa mguu saa ileile. Pia nilikuwepo kwenye kamati ya Madhabahu nanamshukuru nimekuwa na nimefanya kazi sana.
3.       Rehema Yusufu ametokea Tanga Korogwe Machewa nilikuja mwaka jana kuanzia mwezi wa saba wazazi wangu wameharibu pesa kila ninapo pelekwa hospitali kipimo hakipatikani baada ya kwenda Tanga watumishi wa Mungu wa Efatha wakaniambia kunakusanyika mwezi wa 10  nikamsikiliza baba Mwingira anapoongea, na wazazi wangu walikata tamaa walipomsikiliza baba. Ila nikasema kama ulivyo mponya mwanamke mwenye kuvuja damu mwaka 12 na mimi nimeponywa. Kuna siku nilitoa panya nikatapika sana na nilitoa panya wakati wa siku zangu za mwanamke nikawa naenda kanisani na baada ya panya kutoka nikamuomba Mungu ili nijulikane ya kuwa nimepona  naomba unipe mimba na nina tegemea kujifungua huku.
4.       Mume na Mke wake,  ndoa ina miaka 32 ndani ya miaka 20 ya mwanzo wa ndoa yao ilikuwa kama paraadiso baadae shetani akaona wivu ndoa ikavurugika  wakafikia mahali walitengana na ananyumba nzuri lakini nyumba nzuri ndani bila amani,  na kila mtu analaka chumba chake  katika nyumba nzuri kwa nje lakini ninapo lala usiku ninajifungia chumbani ninamwona mke wangu anakuja mara anayeyuka maisha na uchumi ukaanza kuporoomoka nikaanza kutafuta wachungaji lakini siku moja nyumbani pameshindikana natamani kuondoka nimwachie mke wangu nyumba,ndio wakatokea watu wana Efatha mpaka ilifikia kipindi nikaambiwana ndugu zangu nimeoa jini lakini sikuamini baada yakuja kumuona mchungaji akamshika mkono tu alianza kuona matatizo yangu nikasema hapa ndipo ninapopata msaada na nikamwambia nitakuombea na  ntampenda mkeo mke wangu, ninamshukuru Mungu wa Mchungaji  Mahundi aliniambia kwamba nitapata kumfurahia tena mekwangu ndio tupo na mumewangu nampenda hatuachani ng’o sasa ndio basi tena. Namshukuru Mungu sana wa Efatha.
5.       ndoa yangu ilikuwa inavunjika baada ya kukaa kipindi kilefu bila kupata motto ilifikia kipindi ndugu wa  mume na hata kumfundisha mume atoke nje ya nyumba lakini niliamua kurudi nyumbani tanga lakini Mume wangu alinifata na baada yandugu waliniambia nimempatia libwata lakini ni Mungu wa Efatha lakini ninatakiwa nipate mtoto baba alisema kuna wanawake 200 wanaenda kubeba ujauzito na mke na mume wanatabia ya kuibiana alipofika nyumbani alifundisha mume Baba kasema mume wangu tusiibiane tukubaiane anamshukuru Mungu siku ile ile alipata mtoto Namshukuru Mungu.
6.       Neema nilikuja hapa 2012 nimekaa ndani ya ndoa bila kupata mtoto alikuja siku ya alhamisi baba akasema wanaotaka watoto waje alikuwa mumewe lakini alitoka na muujiza wa mtoto.
7.       Magreth Mzeto nimetoka Mwanza ninamshukuru Mungu mwaka 2006 mtumishi wa Mungu Josephat Eliasi Mwingira kunasiku alisema mkasome biblia mkaombe, nilipo ludi nyumbani nikasema naomba mume wangu unipe 500 kutokana na maisha magumu alimsema lakini alitoa ile miatano kwa masikitiko lakini aliipokea akasema unatoaje miatano akasema naomba nikatoke sadaka baada ya sadaka akasema baba muombe sasa kupitia ile mia 500 Mungu alifungua milango nilikua na maisha magumu sana na nilipata neema ya kwenda Israel ninamshukuru Mungu kwani saivi tuna nyumba na magari. 

8.       Bibi Maputu hajameza vidonge anatumia Yesu wa Mtume na Nabii  sikutatu haja lala jana jumanne uvimbe umepona  alikuwa na uvimbe kwenye paja la mguu nimepona kabisa.

Comments