Muulize Jirani yako: JE BWANA YESU Akirudi sasa, Je UTANYAKULIWA? Katika kujibu hilo swali, jiulize haya: 1. Je una deni lolote?, Unadaiwa deni lolote? 2. Toka Mwaka huu uanze Umewafanyia nini Wazazi wako? Toka Mwaka huu uanze Umewafanyia nini Wakwe zako? Toka Mwaka huu uanze umewafanyia Wazazi wako wa Kiroho (Baba yako wa Kiroho)? 3. Umelipa Zaka zako zote? Hujasahau kulipa Zaka zako? Hujaiba Zaka? Hujamuibia MUNGU Zaka? 4. Unawasikiliza Watumishi wake? Unamsengenya Mtumishi wake? 5........... :Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira. --------------------------------------------------------------------------------------------- Moja kwa Moja "LIVE- SIKU YA NNE" toka EFATHA Kibaha Precious Centre-Tanzania pia LIVE STREAMING kupitia Simu yako ya Mkononi na Mtandao (Internet).

Comments