Mahubiri ya Asubuhi: (Bishop Mark Kairuki) - "Mateka" Nimeumbwa KUTAWALA, kutawala pesa zangu, kutawala nyumba yangu, kutawala Kazi zangu, Kutawala Uchumi wangu. Mateka ni nini? Kutoweza kwenda kule ambapo hukutaka kwenda, kushindwa kufanya jambo ambalo unataka kufanya. Mateka ni kujisalimisha kwenye mamlaka ambayo siyo ya KIMUNGU Leo ile nguvu yeyote ambayo ilikuwa inakuzuia kufikia Kipawa”destiny” chako, Mafaniko yako, Ustawi wako, Biashara zako kufanikiwa: LEO ZIMESHINDWA KWA NGUVU YA JINA LA YESU. --------------------------------------------------------------------------------------------- Moja kwa Moja "LIVE- SIKU YA NNE" toka EFATHA Kibaha Precious Centre-Tanzania pia LIVE STREAMING kupitia Simu yako ya Mkononi na Mtandao (Internet).:


Comments