Kipindi Cha Mchana Kimeanza:

Tupate kwenye Link ya www.mixlr.com/efatha:
Askofu Mark Kariuki
Uko Huru KweliKweli....hautabaki vile ulivyo Kuwa.

Photo: Kipindi (Session) cha Mchana kimeisha anza, na Bishop Mark Kariuki toka Kenya, yupo Madhabahuni.

---------------------------------------------------------------------------------------------
Moja kwa Moja "LIVE- SIKU YA TANO" toka EFATHA Kibaha Precious Centre-Tanzania pia LIVE STREAMING kupitia Simu yako ya Mkononi na Mtandao (Internet) .... Ungana nasi LIVE STREAMING

Comments