Breaking News: Mtoto mwingine amezaliwa katika Kusanyiko hili la BWANA, Mtoto wa Kiume, sasa Jumla wanakuwa Watoto wa Kiume 10 (hili TENDO ni la UFUNUO, maana ya Watoto hawa Kumi (10) ni FUNGU LA KUMI na ISHARA ya KUWAFUNGULIA, KUWALETEA WATOTO WALE WASIO ZAA). Jumla sasa ni Watoto Kumi na tano (15), na wale wa Kike Watano (5), maana ya hawa Watano ni nini? Hawa maana yake ni Mabinti watano Bikira, wale wenye HEKIMA waliobeba Mafuta katika Taa zao.Moja kwa Moja "LIVE- SIKU YA SABA" toka EFATHA Kibaha Precious Centre-Tanzania pia LIVE STREAMING kupitia Simu yako ya Mkononi na Mtandao (Internet) .... Ungana nasi LIVE STREAMING :www.mixlr.com/efatha

Comments